LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 26,897 Reaction score 41,467 Sep 9, 2023 #41 Restless Hustler said: Jf kuna mabibi kizee Kama FaizaFoxy Hakuna mke Click to expand... faiza ana dini yake humbandui huko
Restless Hustler said: Jf kuna mabibi kizee Kama FaizaFoxy Hakuna mke Click to expand... faiza ana dini yake humbandui huko
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 26,897 Reaction score 41,467 Sep 9, 2023 #42 Mshana Jr said: Naomba nikushauri.. Hawa wa 20 mpaka 28 hivi ni pasua kichwa! Watakupasua hasa..LAKINI SIO WOTE Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... ni kweli hao ni pasua kichwa ila kwa show tu hawajambo. Huyo jamaa amejipangaje finencially? Maana hao wa umri huo wanapenda fedha balaa
Mshana Jr said: Naomba nikushauri.. Hawa wa 20 mpaka 28 hivi ni pasua kichwa! Watakupasua hasa..LAKINI SIO WOTE Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... ni kweli hao ni pasua kichwa ila kwa show tu hawajambo. Huyo jamaa amejipangaje finencially? Maana hao wa umri huo wanapenda fedha balaa
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 26,897 Reaction score 41,467 Sep 9, 2023 #43 Kuna member mmoja humu alikuwa anatafuta mume wa kumuoa sijui kama alipata au aliamua kupiga kimya baada ya kupata, mkipata muwe mnaleta mrejeo
Kuna member mmoja humu alikuwa anatafuta mume wa kumuoa sijui kama alipata au aliamua kupiga kimya baada ya kupata, mkipata muwe mnaleta mrejeo
Nyuki Mdogo JF-Expert Member Joined Oct 31, 2021 Posts 4,134 Reaction score 10,701 Sep 9, 2023 #44 Mshana Jr said: Naomba nikushauri.. Hawa wa 20 mpaka 28 hivi ni pasua kichwa! Watakupasua hasa..LAKINI SIO WOTE Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wa miaka 30 walio single ni mabwawa ya mtera na wajuaji wakubwa. Train your own dog
Mshana Jr said: Naomba nikushauri.. Hawa wa 20 mpaka 28 hivi ni pasua kichwa! Watakupasua hasa..LAKINI SIO WOTE Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wa miaka 30 walio single ni mabwawa ya mtera na wajuaji wakubwa. Train your own dog
Nyuki Mdogo JF-Expert Member Joined Oct 31, 2021 Posts 4,134 Reaction score 10,701 Sep 9, 2023 #45 Nimeimbisha pis moja ina miaka 23 iko moro na iko tayari kuolewa Elimu form 4. Njoo nikupe connection mimi niko mbali sana
Nimeimbisha pis moja ina miaka 23 iko moro na iko tayari kuolewa Elimu form 4. Njoo nikupe connection mimi niko mbali sana
Accumen Mo JF-Expert Member Joined May 15, 2022 Posts 18,031 Reaction score 40,065 Sep 9, 2023 #46 Kijana uende jumuiya utapata watu wa karibu ,huku mitandaoni wahuni ni wengi.
Missy Gf JF-Expert Member Joined Oct 30, 2022 Posts 5,590 Reaction score 15,743 Sep 9, 2023 #47 Kwahyo sisi cheusi mangara nani atatuoa....anyway kila la heri mwalimu
Jasuma Member Joined Jul 11, 2023 Posts 25 Reaction score 16 Sep 9, 2023 Thread starter #48 Jane Msowoya said: Unakuwaje social halafu ukose mchuchu mmoja mkaliiii Aaaaah bro usiniangushe bhana btn Mungu akupe hitaji la moyo wako Click to expand... Brother Manjagata said: Wee Msukuma angalia unataka kuachwa na Basi! Yaani miaka 35 bado unajishauashaua hapa? Wewe mwenyewe huna mtoto? Ningelikuwa nakufahamu tabia yako ningekuita huku SHY uje ujiokotee toto la nguvu ingawa linakosa kigezo cha taaluma ya Afya. Click to expand... Brother nashukuru Mwenyezi Mungu tayari nimempata
Jane Msowoya said: Unakuwaje social halafu ukose mchuchu mmoja mkaliiii Aaaaah bro usiniangushe bhana btn Mungu akupe hitaji la moyo wako Click to expand... Brother Manjagata said: Wee Msukuma angalia unataka kuachwa na Basi! Yaani miaka 35 bado unajishauashaua hapa? Wewe mwenyewe huna mtoto? Ningelikuwa nakufahamu tabia yako ningekuita huku SHY uje ujiokotee toto la nguvu ingawa linakosa kigezo cha taaluma ya Afya. Click to expand... Brother nashukuru Mwenyezi Mungu tayari nimempata
Jasuma Member Joined Jul 11, 2023 Posts 25 Reaction score 16 Sep 9, 2023 Thread starter #49 Accumen Mo said: Kijana uende jumuiya utapata watu wa karibu ,huku mitandaoni wahuni ni wengi. Click to expand... Asante kaka, ila nashukuru Mwenyezi Mungu nimempata
Accumen Mo said: Kijana uende jumuiya utapata watu wa karibu ,huku mitandaoni wahuni ni wengi. Click to expand... Asante kaka, ila nashukuru Mwenyezi Mungu nimempata
badison JF-Expert Member Joined May 29, 2015 Posts 1,449 Reaction score 2,818 Sep 9, 2023 #50 Kama hunywi pombe ni ngumu kumpata mwanamke style yako
Jasuma Member Joined Jul 11, 2023 Posts 25 Reaction score 16 Sep 9, 2023 Thread starter #51 ntazana ntazana said: Na sisi tusio na elimu itakuaje.... Click to expand... Ni swali gumu sana kukujibu, ila nashukuru Mungu nimefanikiwa kumpata
ntazana ntazana said: Na sisi tusio na elimu itakuaje.... Click to expand... Ni swali gumu sana kukujibu, ila nashukuru Mungu nimefanikiwa kumpata
Jasuma Member Joined Jul 11, 2023 Posts 25 Reaction score 16 Sep 9, 2023 Thread starter #52 badison said: Kama hunywi pombe ni ngumu kumpata mwanamke style yako Click to expand... Brother nimempata Mungu ni mwema.
badison said: Kama hunywi pombe ni ngumu kumpata mwanamke style yako Click to expand... Brother nimempata Mungu ni mwema.