D Davidchief mkanza Member Joined Sep 6, 2016 Posts 5 Reaction score 2 Jun 9, 2022 #1 Habar wanajf..., Nahitaji mke wa kuoa ambaye yupo dar.. Sifa zangu ; -Umri 28 -Elimu: degree -Kazi:Self employed Sifa za mke -awe na umri 22-28 -Awe na kazi rasmi -Awe amemaliza kula ujana Karbu PM kwa mwenye sifa tajwa
Habar wanajf..., Nahitaji mke wa kuoa ambaye yupo dar.. Sifa zangu ; -Umri 28 -Elimu: degree -Kazi:Self employed Sifa za mke -awe na umri 22-28 -Awe na kazi rasmi -Awe amemaliza kula ujana Karbu PM kwa mwenye sifa tajwa
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,195 Reaction score 1,249,561 Jun 11, 2022 #2 All the best
Kiokotee JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 1,674 Reaction score 2,216 Jun 11, 2022 #3 Kuna pisi humu Inatafuta mke wahi kabla wale wa Kimasihara hawajampitia bro.
P Pisila JF-Expert Member Joined Sep 18, 2021 Posts 1,842 Reaction score 3,274 Jun 11, 2022 #4 Nina 37 huwezi kunifikilia?
jokotinda_Jr JF-Expert Member Joined Apr 9, 2022 Posts 882 Reaction score 1,541 Jun 12, 2022 #5 ntazana ntazana said: Nina 37 huwezi kunifikilia? Click to expand... Wewe utanifaa sana njo PM tuyajenge plz
ntazana ntazana said: Nina 37 huwezi kunifikilia? Click to expand... Wewe utanifaa sana njo PM tuyajenge plz
D Deceiver JF-Expert Member Joined Apr 19, 2018 Posts 9,446 Reaction score 17,063 Jun 12, 2022 #6 Huko unakokaa hakuna wasichana? Shauri yako. JF Kuna wanawake wenye watoto lakini watakuambia ni ma bikra. Nakushauri nenda kanisani kwako then jiunge na kwaya ya vijana. Pale utapata muda wa kuwachambua wna kwaya wenzio na kutafuta pisi lililo na nyama
Huko unakokaa hakuna wasichana? Shauri yako. JF Kuna wanawake wenye watoto lakini watakuambia ni ma bikra. Nakushauri nenda kanisani kwako then jiunge na kwaya ya vijana. Pale utapata muda wa kuwachambua wna kwaya wenzio na kutafuta pisi lililo na nyama
42774277 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 6,835 Reaction score 8,906 Jun 12, 2022 #7 Davidchief mkanza said: Habar wanajf..., Nahitaji mke wa kuoa ambaye yupo dar.. Sifa zangu ; -Umri 28 -Elimu: degree -Kazi:Self employed Sifa za mke -awe na umri 22-28 -Awe na kazi rasmi -Awe amemaliza kula ujana Karbu PM kwa mwenye sifa tajwa Click to expand... Kila la heri Boss
Davidchief mkanza said: Habar wanajf..., Nahitaji mke wa kuoa ambaye yupo dar.. Sifa zangu ; -Umri 28 -Elimu: degree -Kazi:Self employed Sifa za mke -awe na umri 22-28 -Awe na kazi rasmi -Awe amemaliza kula ujana Karbu PM kwa mwenye sifa tajwa Click to expand... Kila la heri Boss