Nahitaji mke wa kuoa

Nahitaji mke wa kuoa

kalanga

Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
79
Reaction score
69
Jamani nahitaji mke wa kuoa,umri wangu ni miaka 30,ni mtumishi wa Serikali.Umri wa ninaye mtaka uanzie 22 mpaka 30,angalau awe amefika kidato cha 6.sichagui dini wala kabila.alioko tayari ani PM
 
Ngoja waje.....ila salary yako inasoma tarakimu ngapi tukusaidie kutafuta mkuu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom