DULLAH B. JF-Expert Member Joined Apr 21, 2011 Posts 672 Reaction score 152 Jul 22, 2011 #1 Jamani mi nahitaji mke wa kuoa co kumchezea! Awe muislam elimu kuanzia form 4 umri uczidi 30. Aliyetayari an inbox her email.
Jamani mi nahitaji mke wa kuoa co kumchezea! Awe muislam elimu kuanzia form 4 umri uczidi 30. Aliyetayari an inbox her email.
Mtoboasiri JF-Expert Member Joined Aug 6, 2009 Posts 5,100 Reaction score 1,955 Jul 22, 2011 #2 Ina maana unataka kuoa mke wa mtu siyo? Maana kwa kawaida mtu hutafuta mchumba ili akishamuoa ndio anakuwa mke! Sasa wewe unatafuta mke wa kuoa!
Ina maana unataka kuoa mke wa mtu siyo? Maana kwa kawaida mtu hutafuta mchumba ili akishamuoa ndio anakuwa mke! Sasa wewe unatafuta mke wa kuoa!
FiQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 477 Reaction score 76 Jul 23, 2011 #3 Mtoboasiri said: Ina maana unataka kuoa mke wa mtu siyo? Maana kwa kawaida mtu hutafuta mchumba ili akishamuoa ndio anakuwa mke! Sasa wewe unatafuta mke wa kuoa! Click to expand... Haaah haaah Kaaz kwel kwel
Mtoboasiri said: Ina maana unataka kuoa mke wa mtu siyo? Maana kwa kawaida mtu hutafuta mchumba ili akishamuoa ndio anakuwa mke! Sasa wewe unatafuta mke wa kuoa! Click to expand... Haaah haaah Kaaz kwel kwel
pumbatupu JF-Expert Member Joined Jul 20, 2011 Posts 256 Reaction score 82 Jul 23, 2011 #4 dullah b. said: jamani mi nahitaji mke wa kuoa co kumchezea! awe muislam elimu kuanzia form 4 umri uczidi 30. Aliyetayari an inbox her email. Click to expand... ukisema nahitaji mke unakuwa umeeleweka...tatizo unachapia mno...mara wa kuoa..sasa mke huwa ni wa nini???....ooh..sitaki kumchezea...ulishaona mke anachezewa???...kwa shida hizi tulizo nazo..haidhuru utapata wengi tu...kazi kwako??
dullah b. said: jamani mi nahitaji mke wa kuoa co kumchezea! awe muislam elimu kuanzia form 4 umri uczidi 30. Aliyetayari an inbox her email. Click to expand... ukisema nahitaji mke unakuwa umeeleweka...tatizo unachapia mno...mara wa kuoa..sasa mke huwa ni wa nini???....ooh..sitaki kumchezea...ulishaona mke anachezewa???...kwa shida hizi tulizo nazo..haidhuru utapata wengi tu...kazi kwako??
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,252 Reaction score 10,497 Jul 23, 2011 #5 DULLAH B. said: Jamani mi nahitaji mke wa kuoa co kumchezea! . Click to expand... ooh! Basi tena...