C chikundi JF-Expert Member Joined Oct 16, 2016 Posts 8,159 Reaction score 2,287 Dec 25, 2016 #41 BL4 said: Cjakuelewa una maana gani, chikundi Click to expand... Unahitaji mke wa kuoa...mke maana yake ni mwanamke aliyeolewa.
BL4 said: Cjakuelewa una maana gani, chikundi Click to expand... Unahitaji mke wa kuoa...mke maana yake ni mwanamke aliyeolewa.
BL4 Member Joined Sep 24, 2012 Posts 69 Reaction score 27 Dec 28, 2016 Thread starter #42 chikundi said: Unahitaji mke wa kuoa...mke maana yake ni mwanamke aliyeolewa. Click to expand... Nimekuelewa kwa ulewa wako ila nilikuwa sina maana hiyo nilikuwa namaana ya binti ambae hajaolewa
chikundi said: Unahitaji mke wa kuoa...mke maana yake ni mwanamke aliyeolewa. Click to expand... Nimekuelewa kwa ulewa wako ila nilikuwa sina maana hiyo nilikuwa namaana ya binti ambae hajaolewa
Mvaa Tai JF-Expert Member Joined Aug 11, 2009 Posts 6,157 Reaction score 4,454 Dec 28, 2016 #43 BL4 said: SIFA -----Awe mkristo ikiwezekana awe msabato . Awe ana kazi Asiwe alie jichubua . Asiwe mlevi. Awe mkarimu . Anipende. Awe na umri usiozidi miaka 28 naasipungue 25. Awe mnene kiasi. 0658051775 Usilete utani Click to expand... Utaibiwa wewe angalia namna nyingine ya kutafuta mke?
BL4 said: SIFA -----Awe mkristo ikiwezekana awe msabato . Awe ana kazi Asiwe alie jichubua . Asiwe mlevi. Awe mkarimu . Anipende. Awe na umri usiozidi miaka 28 naasipungue 25. Awe mnene kiasi. 0658051775 Usilete utani Click to expand... Utaibiwa wewe angalia namna nyingine ya kutafuta mke?
BL4 Member Joined Sep 24, 2012 Posts 69 Reaction score 27 Jan 22, 2017 Thread starter #44 Mvaa Tai said: Utaibiwa wewe angalia namna nyingine ya kutafuta mke? Click to expand... Ila nimegundua wanawake wengi sana ndio maana hawaolewi Kila mmoja anahitaji mwanamme mwenye pesa tayari Yani hawataki kabisa kumkuta mwanaume ambae anaanza maisha Baadae unasikia tugawane mali wengi wanakuja kuchuma wanaume muwe makini sana na wanawake kama hao
Mvaa Tai said: Utaibiwa wewe angalia namna nyingine ya kutafuta mke? Click to expand... Ila nimegundua wanawake wengi sana ndio maana hawaolewi Kila mmoja anahitaji mwanamme mwenye pesa tayari Yani hawataki kabisa kumkuta mwanaume ambae anaanza maisha Baadae unasikia tugawane mali wengi wanakuja kuchuma wanaume muwe makini sana na wanawake kama hao
BL4 Member Joined Sep 24, 2012 Posts 69 Reaction score 27 Mar 26, 2019 Thread starter #45 hamjambo wakuu long time sana sijaingia humu
Tee wife material JF-Expert Member Joined Jan 15, 2019 Posts 323 Reaction score 350 Mar 27, 2019 #46 espy said: Kumbe hawa wanaokuja huku ni nehi nehi!!!! Click to expand... nehi nehi dah Ndugu yangu mbavu zangu I miss home sure Sent using Jamii Forums mobile app
espy said: Kumbe hawa wanaokuja huku ni nehi nehi!!!! Click to expand... nehi nehi dah Ndugu yangu mbavu zangu I miss home sure Sent using Jamii Forums mobile app
Tee wife material JF-Expert Member Joined Jan 15, 2019 Posts 323 Reaction score 350 Mar 27, 2019 #47 BL4 said: Akiwa msomi ni sawa Awe na chura ila lisiwe kubwa sana Click to expand... Ubaguzi na sisi tusio na chura jee Sent using Jamii Forums mobile app
BL4 said: Akiwa msomi ni sawa Awe na chura ila lisiwe kubwa sana Click to expand... Ubaguzi na sisi tusio na chura jee Sent using Jamii Forums mobile app