MHARADALI1000
Senior Member
- Jun 10, 2021
- 125
- 201
aisee alinishtua kidogoNilidhani mihadarati
Ndio mkuu nahitaji micheUnahitaji miche??
Nashukuru kwa ushauri wako ..na kweli ni hii miti ni ngumu kuipata nimeitafuta sana kwa waotesha miche miti haipatikaniBinafsi I recommend ufike mkoa wa morogoro, SUA , wakala wa mbegu za miti Kihonda, maliasili - kilakala ..in those three places utaweza pata namna ya kuipata, maana mustard trees are rare.
[emoji3][emoji3][emoji3] unawaza mbali mkuuaisee alinishtua kidogo
Naomba kama unanamba za mhusika yoyote huko SUA au kwa hao mawakala wa mbegu niandie hapa au DMBinafsi I recommend ufike mkoa wa morogoro, SUA , wakala wa mbegu za miti Kihonda, maliasili - kilakala ..in those three places utaweza pata namna ya kuipata, maana mustard trees are rare.
yupo dada mmoja anauza miche humu, na anapatikana huko SUA. Ukiweza kuwasiana nae anaweza kukutumia.Naomba kama unanamba za mhusika yoyote huko SUA au kwa hao mawakala wa mbegu niandie hapa au DM
#NAMBA ZITANIPA UHAKIKA WA SAFARI YANGU KAMA NITAFANIKIWA KUPATA MIHARADALI NIKIFIKA HUKO
Unayo ili uniuzie?Nilidhani mihadarati
Shukran mkuu nakwenda kumtafuta huyoyupo dada mmoja anauza miche humu, na anapatikana huko SUA. Ukiweza kuwasiana nae anaweza kukutumia.
INAUZWA - Miche ya kisasa ya matunda inauzwa
Habari,Natumaini mko salama na poleni na majukumu ya kila siku.Karibu ujipatie miche ya kisasa ya matunda. Tunapatikana Chuo kikuu cha kilimo (SUA) lakini tunatuma na mikoani kwa uaminifu mkubwa. Pia ipo huduma ya kufanyiwa layout na kupandiwa miche yako shambani kwako,team ya wataalamu...www.jamiiforums.com
[emoji120][emoji120] shukran mkuu
Uko wapi njoobuchukue bure hukuNahitaji miti 500 ya miharadali kwa alienayo tayari kwa kupanda au tunaweza kuingia makubaliano ya kunioteshea
#Mahali popote pale miti ilipo nitaifuata mwenyewe
asante sana boss.Umenibariki sana.
nawe pia Barikiwa sanaasante sana boss.Umenibariki sana.
Tayari nimewasiliana na mkuu
Kumbe wewe ni mwanaume🥵🥵View attachment 1824695
Miche ya haradali