Ramthods
JF-Expert Member
- Jun 2, 2009
- 515
- 187
Wadau,
Nipo kwenye mchakato wa kumalizia ujenzi.
Nimeona milango fulani hivi ya bati (ni ya material ya metal), naskia inatoka uturuki.
Hii milango inakuja na frame, pamoja na kitasa.
Nimezunguka maduka mbali mbali ya waturuki, lakini sijabahatika kuipata.
Kuna mdau anajua inapopatikana? Ni mizuri kwa ajili ya milango ya nje, au niendelee na milango yetu ya mbao tu?
Pia, nahitaji fundi wa urembo, wale wanaotengeneza urembo kwenye ukuta, madirisha, nguzo n.k kwa cement.
Nipo Dar.
Natanguliza shukrani.
Ram