Nahitaji mifuko

Nenda Chang'ombe au kwa kupitia Kwa Sokota karibu na Baresa Bandari Kavu kuna Kiwanda kinaitwa Zentaza Plastic utapa
 
Waambie vijana wenzako wajue thamani ya hiyo mifuko siyo unaitafuta pasi sababu.

Kuna jamaa yeye kawapa tenda waokota chupa popote wanapoiona hiyo mifuko wanaibeba naye anawalipa, inavyoonekana ni deal sababu huyu jamaa anafungasha magunia yale makubwa kama yanayokuja na mchanga kutoka nje na kuuza hapo Dar!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…