Wakuu. Vyuo karibu vitafunguliwa; na madogo wanahitaji vitendea kazi (laptops).
Kuna dogo anahitaji software ya Microsoft 365/Office ya halali na yenye lifetime warranty kwa ajili ya kazi za kawaida tu za chuoni. Kama unayo basi nitafute ASAP.
Dogo anayeihitaji kwa sasa yupo Dar; na ndiye anayeshughulika na hii ishu.
Hiyo simple tu mkuu ila neno HALALI ondoa kichwani, ingia google search utapata crack za kutosha, mfano mi natumia version ya 2024, set up yake ina 5GB kama sijakosea so ni wewe na bundle lako tu mkuu.