Kipi ni ghali?Unakosa chakula cha samaki? Pumba ndoo moja samaki kwenye bwana moja wanaweza kula wiki moja na mabaki ya chakula huko mahotelini.
Katika ufugaji wa samaki chakula ndio gharama nafuu kuliko kitu kingine
Ujenzi wa bwawa, kubadili maji, vifarangaKipi ni ghali?
Mkuu kama una sehemu nzuri panda mchicha.Wadau, Habari za leo.
Mimi ni mfugaji wa samaki, tayari nina mabwawa matatu ya samaki na nimeshaweka vifaranga vya samaki ambavyo vina miezi minne. mabwawa yangu ni makubwa na mazuri sana. changamoto ninayokutana nayo ni namna ya kupata chakula cha kuwalisha hawa samaki/ Hivyo naomba kupata mtu wa kunifadhili chakula cha kuwalisha hawa samaki, ambaye tutaingia naye Mkataba.
Naamini hapa Jukwaani nitawapata. Namba yangu ni 0769555850.
karibuni sana wadau
awalishe mapumba tu uone kama hawatadumaa aingie hasara kubwa.chakula nacho gharama aisee.investment kubwa kama hizo na gharama zinakua kubwa pia.Unakosa chakula cha samaki? Pumba ndoo moja samaki kwenye bwana moja wanaweza kula wiki moja na mabaki ya chakula huko mahotelini.
Katika ufugaji wa samaki chakula ndio gharama nafuu kuliko kitu kingine
kama anafuga kibiashara asifuate ushauri wako.Pia unaweza kwenda kwa wafanyabiashara wa dagaa masokoni unaongea nao namna ya kupata mabaki ya dagaa yale chenga ambazo haziuziki ni bei nafuu na ni chakula kizuri sana kwa samaki wako
ni kizuri ila inategemea kama maji yame simama tu sehemu moja akiweka mabaki ya dagaa mara nne tu maji huchafuka sana na kusababisha samaki kukosa oxygen atajuta kama maji yanaingia na kutoka sio mbaya!!!Pia unaweza kwenda kwa wafanyabiashara wa dagaa masokoni unaongea nao namna ya kupata mabaki ya dagaa yale chenga ambazo haziuziki ni bei nafuu na ni chakula kizuri sana kwa samaki wako