N ndugufred Senior Member Joined Dec 30, 2011 Posts 137 Reaction score 44 Feb 22, 2014 Thread starter #21 kijani11 said: We una lako lingine wewe.. Click to expand... Ningetaka kwa ajil ya jambo jingine ningeandika kabisa plainly,kuwa nataka dada kwa ajili ya kwenda kula naye bata ufukweni...sidhan kama kungekuwa na tatizo
kijani11 said: We una lako lingine wewe.. Click to expand... Ningetaka kwa ajil ya jambo jingine ningeandika kabisa plainly,kuwa nataka dada kwa ajili ya kwenda kula naye bata ufukweni...sidhan kama kungekuwa na tatizo
Mndengereko JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 7,319 Reaction score 3,432 Feb 22, 2014 #22 Evarm said: Nenda UD swimmming pool pale kuna walimu wazuri sana wa kuogelea, ila wengi wao ni wanaume. Kuogelea kwema mkuu Click to expand... si ndo hapo angekuwa anataka kujua asingechagua jinsia by the way mwache aendelee kutojua sisi tunaojua tuendelee kufaidi maji.
Evarm said: Nenda UD swimmming pool pale kuna walimu wazuri sana wa kuogelea, ila wengi wao ni wanaume. Kuogelea kwema mkuu Click to expand... si ndo hapo angekuwa anataka kujua asingechagua jinsia by the way mwache aendelee kutojua sisi tunaojua tuendelee kufaidi maji.