Nahitaji mdada aliye serious kuolewa

Nahitaji mdada aliye serious kuolewa

kivutio

Member
Joined
Jun 20, 2014
Posts
58
Reaction score
36
Nakaribisha PM kwa mdada mwenye nia ya dhati ya kuolewa. Sifa awe mkristou umri wake usizidi miaka 29.

Mwenye mtoto 1 ruksa,asiwe mnene na asiwe mweusi,awe anajua kusoma na kuandika,kuhusu mimi,
Mweusi mwembamba nina miaka 34 - 38 najua kusoma na kuandika si mfupi wala mrefu.

Naomba kusisitiza pm ni kwa walio serious tu.

Karibuni kwa pm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom