Nahitaji mchumba:

Nahitaji mchumba:

Kabhundulee

Member
Joined
Oct 7, 2013
Posts
17
Reaction score
2
Kwa nwanamke alie serious ani pm,umri wake usizidi miaka 28 na di chini ya 23.KARIBUNI
 
Kuwe serious kijana,toa japo brief profile,hujui biashara matangazo
 
Utakuwa Mkurya tu wewe,badala ya kusema hata naomba/natafuta unakuja tu kibabe 'nataka mchumba' Haya subiri watakuja!
 
Ndugu acha ukabila kwani wakurya kama vipi hawastahili kupata wenza? Labda kwa kukufafanulia ni kuwa kama kuna mtu inamhusu nimeomba aingie kwenye pm tuongee zaidi,nia ipo kwa mtu SERIOUS
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom