Nahitaji mchumba wa kiume, ukivutiwa na vigezo vyangu karibu

How deeply did you wished me to think?, do you mean mtu akihitaji kupima ndiyo yuko tayari the next day kuhave sex na je kupima is all about having sex? I asked for a friendship na baadaye hatua zingine kama uchumba na ndoa vingefuata je niende tu blindly bila kujua afya ya huyo mwenza?.
Njoo PM.
 
Wadada wa kitanzania wakishaajiriwa wanajiona wao ndio Kila kitu wanadharau hata wanaume ghafla wanashangaa muda umeisha
Wanashindwakuelewa hako kamshahara kake ni Pato la kawaida kabisa la siku Kwa mjasiriamali
Imagine; Kama unaweza ulanunua gari ya milioni 27 bila mkopo wowote
Je huyu muajiriwa atazunguka hapa miaka mingapi?
Alafu nashangaa mtu unamuomba namba tu anakuuliza niambie kwanza wewe unafanya kazi gani?
Mimi ni Msomi ujue
Wanawake wa kiafrika Kuna shida mahali
 
Unamaanisha uliulizwa kuhusu kazi yako?
 
Hello,
I hope you are all fine,poleni na Corona na tuzidi kuchukua tahadhari tu. back to the point nahitaji rafiki wa kiume ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa.

Huu ni wasifu wangu:
Jinsia- am a lady,miaka 28
Kimo- mrefu,rangi maji ya kunde.
Umbo-mwili wa kawaida si mnene wala mwembamba
M.status- single na sina mtoto
Dini- mkristo
Edc- Bachelor Degree
Kazi- nimeajiriwa
Makazi- Dar es salaam.

Sifa za rafiki nimtakaye:
Umri-awe na miaka 30 na kuendelea
Kimo- mrefu pia ukiwa na futi 6 na zaidi itakua vizuri
M.status-awe single
Dini- awe mkristo
Kazi- awe amejiajiri/kuajiriwa
Makazi- awe Dar es salaam au maeneo jirani

NB:Awe tayari kupima magonjwa,nipo tayari pia.

kwa mawasiliano zaidi karibu pm(kwa wenye hizo sifa please)

Weekend njema.
Chini ya futi 6 pita kushoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom