Nahitaji mchumba serious.

Mr Cany

New Member
Jul 27, 2017
3
0
Umri wangu 26 nahitaji mwanamke ambaye yupo tayari kuanzisha maisha, nipo serious, but umri usizidi 25, kuhusu sifa zangu ni PM tutaelezana vzr.
 
Umri wangu 26 nahitaji mwanamke ambaye yupo tayari kuanzisha maisha, nipo serious, but umri usizidi 25, kuhusu sifa zangu ni PM tutaelezana vzr.
Kumbe we mtu una ID mbili maana nimeuona uzi wako umeingia kwa ID ya manambanamba. Una shida wewe......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom