Nina Kiwanja chenye Sqmt-647.
Nahitaji Mchoro wa servant Quarter.
Kijumba chenyewe kitatumika kwa Shughuli za Kiofisi kwani nataka niweke hapo Site ya Tofali na Hardware kabla ya kuja kujenga hapo Nyumba au Frems.
Specs:
-Verandah
-Sitting Room
-Master Moja
-Jiko & Kajistoo Kadogo sana & (Liwe na Kibarazani Cha Nyuma)
-Toilet ya Nje kwa NyumA ya hiki kijumba.
-Stand ya Water tank(Tower ya Nguzo za Zege) yenye Uwezo wa Kubeba Tanks 2 za 5,000ltrs
NB: Ibakie sehem ya Kuja kujenga Nyumba baadae ntakapositisha Biashara ya Tofali.
Gharama: Isizidi 60,000/-
Contact: Send Me PM Please.