Nahitaji mchanga safi wa kutengeneza tofali.

Nahitaji mchanga safi wa kutengeneza tofali.

MarchArmy

Senior Member
Joined
Aug 19, 2016
Posts
160
Reaction score
104
Habari wanaJF

Kama nilivyoeleza. Nahitaji mchanga bora wa kufyatua tofali.

Mimi nipo moshi.

Nasikia mchanga wa bomang'ombe ni mzuri.


Naomba tujuzane bei kwa kila lori/trip. Nina uhitaji wa haraka.
 
mkuu unatafuta mchanga jf.
dah.. najaribu kuangalia kati ya uvivu, distance, uelewa au tatizo ni nn!
 
Back
Top Bottom