Nahitaji mbwa

hali ya dharau imechangiwa kwa kiasi kikubwa na kutojuana humu jamvini,ingekuwa uraiani ningeshakumwaga cerebelum we kenge au ningekuvunja mguu
kabla ujajibu mtu ovyo soma kwanza uelewe Ndio utoe jibu lako mbwa koko toka iringa,wala there was no need ya wewe kujibu Kama ulikua huna jibu la kuhusu Mbwa niliowataja hapo juu..
 
Hao ni mbwa waliozaliwa familia bora,sio wanaotembea viuno upande wala viporo.

Kweli watu wanahela.. na mbwembwe juu..
sie hapa kitaani mbwa akizaa tunapeana vitoto bureeee.

Na ni wakali ileile
 
Kweli watu wanahela.. na mbwembwe juu..
sie hapa kitaani mbwa akizaa tunapeana vitoto bureeee.

Na ni wakali ileile

Umeshawahi kuona mbwa wa kitaa anafika uzito wa kilo 50+ ?

kama yupo, ni PM nije fasta kumchukua bure!
 
Kweli watu wanahela.. na mbwembwe juu..
sie hapa kitaani mbwa akizaa tunapeana vitoto bureeee.

Na ni wakali ileile

Na tena wanakula ukoko na mboga.......
 
Mkuu Mbwa wa kitaa wenye huo uzito wapo kibao tu mimi nna dume moja mbegu ya kienyeji ana kilo 56 yaani ni mkali balaa !! sema vya huku uswazi kwetu huwa havithaminiwi.
 
Mkuu Mbwa wa kitaa wenye huo uzito wapo kibao tu mimi nna dume moja mbegu ya kienyeji ana kilo 56 yaani ni mkali balaa !! sema vya huku uswazi kwetu huwa havithaminiwi.

Aisee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…