M mkanda tumboni Member Joined Jun 7, 2017 Posts 94 Reaction score 149 Jul 23, 2017 #1 nataka kujua gharama ya mbao 100 za kupaulia nyumba.na gharama ya kuzisafirisha kutoka mafinga hadi kibaha.
nataka kujua gharama ya mbao 100 za kupaulia nyumba.na gharama ya kuzisafirisha kutoka mafinga hadi kibaha.
kikulacho... JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 321 Reaction score 224 Jul 23, 2017 #2 Nenda buguruni wanapouza mbao utapata maelezo yakutosha