Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,681
- 12,308
Nenda Ikulu utayapata
Amka usiku wa manane ambaa na mwambao wa ocean road yapo mengi tuu huwa wanatoka ikulu na kwenda kutaga ukanda ule na kuyachimbia kwny mchanga
Wadau habari zenu?
Naomba msaada wenu,ninahitaji kupata mayai ya Tausi ISHIRINI,kwa anayejua namna ya kupata naomba mnijuze.Mimi nipo Arusha mjini. Simu 078714032 au niPM.
Waganga wakienyeji wanatesa sana kwanini wanakuagiza vitu vigumu hivyo
Ukitengeneza chips mayai ya tausi usinisahau
Wadau habari zenu?
Naomba msaada wenu,ninahitaji kupata mayai ya Tausi ISHIRINI,kwa anayejua namna ya kupata naomba mnijuze.Mimi nipo Arusha mjini. Simu 078714032 au niPM.