Hiyo oda ya kila siku ama?Trei kuanzia 50...vp mkuu unazo
hzo unapata mbona ukitaka Hata 500 trey unapata.....Trei kuanzia 50...vp mkuu unazo
Mkuu 10k....kweli vyuma vimekazaUnataka trey ngapi?
Kuna mkurya mmoja namjua Yuko banana Ana mayai ya kutosha.....
Ni pm # yko Nku
hzo unapata mbona ukitaka Hata 500 trey unapata.....
Trey1 sahv bei ya jumla ni 10000 Kwa trey
Ni pm nkunganishe mtu akupatie mayai hayo
Ova
Ndy bei ya jumla....labda uende moja Kwa moja Kwa wakurya kule banana,ila mayai inauzika tu hamnaga vyuma kukaza wala kulegeza mkuu....ni pm # yko....Mkuu 10k....kweli vyuma vimekaza
Nitumie namba yakoKila wiki...
Bei ya jumla trey 1 Tsh 10000????Unataka trey ngapi?
Kuna mkurya mmoja namjua Yuko banana Ana mayai ya kutosha.....
Ni pm # yko Nku
hzo unapata mbona ukitaka Hata 500 trey unapata.....
Trey1 sahv bei ya jumla ni 10000 Kwa trey
Ni pm nkunganishe mtu akupatie mayai hayo
Ova
dalali huyo usishangae 😉😉Bei ya jumla trey 1 Tsh 10000????
Yana upekee gani hayo mayai ya mkurya
dalali huyo usishangae 😉😉
kumbee.... maana jumla trey 7000 mpaka 8000Hiyo ni bei ya wapi?labda kama unaenda nunuakumbee.... maana jumla trey 7000 mpaka 8000
Sina haja ya kudalalia mayai Kwa mtu,mm nazungumzia unanunua mayai na kusupply sehemu zebye demand kubwadalali huyo usishangae 😉😉
Jiji hili hili lenye kitongoji cha banana!!! Kama unauziwa mayai 10000 unaliwa kabuku2 kwa kila treyHiyo ni bei ya wapi?labda kama unaenda nunua
Moja Kwa moja Kwa mfugaji.....
Ila wauzaji wa jumla wanaochukua Kwa wafugaji huko trey nyingi wao wanuza yai moja sh 400
Ova
Kama unakwenda nunua Kwa wakurya sawa huko utauziwa chini ya buku ila Kwa mwingine Mfano anatokea zenji au sehemu nyingine,mtu anaona bora akachkue Kwa wanaouza jumla Kwa 10000/ Kwa treyJiji hili hili lenye kitongoji cha banana!!! Kama unauziwa mayai 10000 unaliwa kabuku2 kwa kila trey