I Ishemo Senior Member Joined Mar 6, 2015 Posts 194 Reaction score 127 Oct 19, 2020 #1 Habari za Jioni wana Jf Nahitaji mayai ya kisasa trey 30 kwa tzs 6000 @ Trey Niko Mwenge opp na TRA aliye nayo anipm tuelewane nahitaji kesho by Saa 5 asbh Asante
Habari za Jioni wana Jf Nahitaji mayai ya kisasa trey 30 kwa tzs 6000 @ Trey Niko Mwenge opp na TRA aliye nayo anipm tuelewane nahitaji kesho by Saa 5 asbh Asante
Churchboy Member Joined Aug 2, 2020 Posts 58 Reaction score 30 Oct 19, 2020 #2 Me pia naitaj kufanya ii biashara muongoz0 wadau/msaada vitu vya kuzingatia unapoitaj kuanza biashara ya uuzaj mayai,
Me pia naitaj kufanya ii biashara muongoz0 wadau/msaada vitu vya kuzingatia unapoitaj kuanza biashara ya uuzaj mayai,
dicloppa JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 278 Reaction score 410 Oct 19, 2020 #3 Ishemo said: Habari za Jioni wana Jf Nahitaji mayai ya kisasa trey 30 kwa tzs 6000 @ Trey Niko Mwenge opp na TRA aliye nayo anipm tuelewane nahitaji kesho by Saa 5 asbh Asante Click to expand... Mwambie shemeji yako akuletee kwa hiyo bei unayotaka ila shamba bei ni sh 7000.
Ishemo said: Habari za Jioni wana Jf Nahitaji mayai ya kisasa trey 30 kwa tzs 6000 @ Trey Niko Mwenge opp na TRA aliye nayo anipm tuelewane nahitaji kesho by Saa 5 asbh Asante Click to expand... Mwambie shemeji yako akuletee kwa hiyo bei unayotaka ila shamba bei ni sh 7000.
codex4x Member Joined Oct 13, 2020 Posts 8 Reaction score 3 Oct 19, 2020 #4 Ishemo said: Habari za Jioni wana Jf Nahitaji mayai ya kisasa trey 30 kwa tzs 6000 @ Trey Niko Mwenge opp na TRA aliye nayo anipm tuelewane nahitaji kesho by Saa 5 asbh Asante Click to expand... labda ya kuku anayeanza kutaga
Ishemo said: Habari za Jioni wana Jf Nahitaji mayai ya kisasa trey 30 kwa tzs 6000 @ Trey Niko Mwenge opp na TRA aliye nayo anipm tuelewane nahitaji kesho by Saa 5 asbh Asante Click to expand... labda ya kuku anayeanza kutaga
HDMI JF-Expert Member Joined Mar 10, 2018 Posts 672 Reaction score 1,337 Oct 20, 2020 #5 Kwa bei yako una maanisha trei la mayai 30 kila yai uuziwe Tsh 200/=? Acha tutakula na wanangu au nitawapa majirani wapate protein
Kwa bei yako una maanisha trei la mayai 30 kila yai uuziwe Tsh 200/=? Acha tutakula na wanangu au nitawapa majirani wapate protein