Hee kwani Tabora sio Bongo mwambie hivi wewe uliishi Dar na sio Bongo.Bongo maana yake kwa siku hizi ni Tanzania au Bongoland wewe ndio unatoka mikoani kweli naona unamtoa mwenzio ushamba nafahamu watu mlioishi mikoani kwa muda mrefu mnaita Dar Es Salaam Bongo teh teh teh
hizo bei za kigogo, au nje ya mji. sidhani kama hata kibaha unapata. hapo makongo 150,000/= chumba na sebule choo cha kukimbia na kopo la maji huku ukifika foleni. wewe rudi tu kijijini ukalime mjini pameshakushinda.