mzee wa ndoto
Member
- Jul 10, 2020
- 75
- 46
Jamuhuri ya muungano wa Tanzania...
Natumai muazima wa afya nisiwachoshe tusichoshane shida yangu Mimi nahitaji masomo ya mtandaoni Kati ya masomo hayo IT na kingireza kisikose.
Shule nilikimbia sasa naiona umuhimu wake majukumu nayo yamenibana. Mwenye kuweza kunifundisha kwa njia ya simu tafadhari tuwasiriane ni muhim sana.
Kama unapajua sehem ya kumaliza tatizo langu Hilo la elimu ya kujiendeleza nipe link.