Nahitaji mashine zifuatazo nipe bei

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,353
Reaction score
4,621
Habari wadau,

Niko nafanya mchanganuo wa kufungua Biashara.
Ninahitaji mashine zifuatazo:
  1. Mashine ya kufua upepo,na mtungi wake inayowaza kujaza matairi ya magari ya kutumia petrol na umeme
  2. Welding Mashine
  3. Mashine ya kuoshea magari ya kutumia petrol na umeme
Kwa wanaoelewa bei na zinakopatikana nijuzeni
 
Unataka kununua au kujua bei tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…