N nyamwinuka Member Joined Aug 10, 2016 Posts 92 Reaction score 72 Nov 1, 2016 #1 Hallow wadau naomba kujua mahali zinapouzwa mashine ya popcorn hii inayotumia baiskeli pamoja na jiko la gesi.. Naomba kujua bei yake na mahali zilipo nipo dar... Asanteni
Hallow wadau naomba kujua mahali zinapouzwa mashine ya popcorn hii inayotumia baiskeli pamoja na jiko la gesi.. Naomba kujua bei yake na mahali zilipo nipo dar... Asanteni
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,864 Reaction score 10,081 Nov 1, 2016 #2 Mkuu Google kuna uzi kama huo ulikuwa humu Zinauzwa maduka ya Hardware Kariakoo,ila kuna uzi umeelezea kwa kina mpaka mitaa
Mkuu Google kuna uzi kama huo ulikuwa humu Zinauzwa maduka ya Hardware Kariakoo,ila kuna uzi umeelezea kwa kina mpaka mitaa