Nahitaji mashine ya max malipo au selcom

Nahitaji mashine ya max malipo au selcom

Mwana wa Nuru

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
590
Reaction score
415
Naomba wadau mnijulishe ninapoweza kununua mashine ya max malipo na selcom kwa dar es salaam ili ninunue. Asante.
 
Wafuate hao MaxMalipo makao makuu pale Millenium Towers makumbusho karibuna ofisi za Tigo. Au pata mawasiliano yao kwenye website maxcomafrica.com
 
Back
Top Bottom