Nahitaji Mashine ya kutoa chumvi kwenye maji

kakolo

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
406
Reaction score
354
Wakuu,

Msaada u
natakiwa hapa nimechimba kisima, lakini maji hayafai kwa matumizi yoyote sababu yana chumvi sana. Sasa nime google Mashine ya kutoa chumvi nikaona zinapatikana nje ya nchi.

Je, kuna mwenye kujua kama zinapatikana hapa Dar? Anijuze tafadhali

Shukrani mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…