karv JF-Expert Member Joined Dec 26, 2019 Posts 1,800 Reaction score 3,269 Oct 18, 2021 #1 Habari wana JF Naulizia bei ya mashine ya kushonea viroba vya unga na pia naweza kupata wapi viroba vya unga kwa bei ya jumla na unachukua kuanzia vingapi Ningependa kujua kuhusu kuprint viroba hivyo na bei yake Natanguliza shukurani zangu kwenu
Habari wana JF Naulizia bei ya mashine ya kushonea viroba vya unga na pia naweza kupata wapi viroba vya unga kwa bei ya jumla na unachukua kuanzia vingapi Ningependa kujua kuhusu kuprint viroba hivyo na bei yake Natanguliza shukurani zangu kwenu
edwin89 Member Joined Apr 12, 2016 Posts 98 Reaction score 106 Oct 18, 2021 #2 Upo wapi embu weka clear maelezo yako
Baraka sheni JF-Expert Member Joined Jan 5, 2015 Posts 473 Reaction score 198 Oct 19, 2021 #3 mkuu zinapatikana posta pale karibia na mnara wa saa kwa pembeni kunaduka linauza chereheni nyingi na upande wa kuprint nenda bakresa pale wana huduma hiyo. naomba fulsa kiwandani kwako ya kushona na kupima na kupanga mzigo hapo kiwandani mkuu.
mkuu zinapatikana posta pale karibia na mnara wa saa kwa pembeni kunaduka linauza chereheni nyingi na upande wa kuprint nenda bakresa pale wana huduma hiyo. naomba fulsa kiwandani kwako ya kushona na kupima na kupanga mzigo hapo kiwandani mkuu.
Gpili JF-Expert Member Joined May 18, 2020 Posts 2,179 Reaction score 2,084 Oct 20, 2021 #4 Mkuu nina viroba vya gypsum vipatavyo 300 nipo tanga mjini tuongee biashara if you're interested vilikuwa ni kampuni ya Good one
Mkuu nina viroba vya gypsum vipatavyo 300 nipo tanga mjini tuongee biashara if you're interested vilikuwa ni kampuni ya Good one