Izo ni mpya na ni za umeme ipo ya 1400000 na ya 1600000. Ni nzur sana na imara sana .mwanzoni nlikuwa natumia ya mafuta ya kichina ikawa inasumbua nikanunua iyo ya umeme ya singapore ni nzur sanaaaaa haijawah kusumbua kabisaaaaa. Lakin pia ukitaka mashine idumu ni vizur ukawa na maji ya kutosha ili isifike wakat maji yakaisha mashine ikawa inavuta upepo ama uchafu.J33 fafanua basi
Hizo za Singapore ni brand gani na zinapatikana wapi?Unahitaji ya umeme au ya mafuta? Kwa bei zipo za kichina laki nne had tisa za mafuta na zipo nashine bora sana za umeme kutoka singapore zinaanzia 1400000 na kuendelea inategemea ukubwa wa mashine unayohitaji
Minhaji, Karibu sana Jf.habari naombeni kuuliza nimemaliza certificate katika chuo kilicho sajiliwa na nacte kwa mda je naweza kuendelea na diploma kweny chuo kilicho sajiliwa kamili na nacte