Snitch2020
Member
- Aug 24, 2017
- 77
- 91
Mambo vipi wadau. Naitwa Snitch2020
Naomba mniambie ninaweza kupata wapi Mashine ya kutengeneza Juice ya muwa mpya kwa bei rahisi. Mashine iwe inatumia Umeme.
kama kuna mtu anafahamu zinapopatikana na bei zake tafadhali anielekeze. Asanteni sana
Wako katika ujenzi wa taifa la viwanda Snitch2020