Nahitaji Masada

Acha kuangalia porn asee...
Kuna mdau humu aliwahi sema ukiangalia sana porn na nyeto ndo unafika hizo level za kuanza kuwaadmire wanaume.
 
Kichwa cha habari, mkuu unahitaji Masada unamaanisha album ya Alpha Blondy au??
 

Yap...upo sahihi kabisa labda nilikosa Kiswahili kizuri ni kuelezea sio kwamba nawatamani kingono bali just tu niwe nao katika mzunguko wangu wa kila siku
 
Acha kuangalia porn asee...
Kuna mdau humu aliwahi sema ukiangalia sana porn na nyeto ndo unafika hizo level za kuanza kuwaadmire wanaume.

Yawezekana upo sahihi ila nimeanza muda hata kabla sijaanza kuangalia porn
 
Yap...upo sahihi kabisa labda nilikosa Kiswahili kizuri ni kuelezea sio kwamba nawatamani kingono bali just tu niwe nao katika mzunguko wangu wa kila siku
Ni ushauri tu usiingie mzima mzima na kufata vitendo vya rafiki zako, kumbuka kila mmoja amekulia na tabia tofauti. Kabla hujaiga kwanza fikiria faida zake na hasara zake sio unataka u fit in kwao. Halafu jaribu kuwa na urafiki na watu wazima mfano vikao vya kahawa na michezo(watu wenye busara) hawa wakikuzoea na ukizowea maongezi yao. Ndio huanza kukujenga kuwa shupavu mwenye busara na maono ya maisha ili ukija kuwa na familia yako utaijenga yenye upendo. Ingawa najua watu unao waamini sana ni mama na bibi lakini anza kujitengea mazingira ya kujiamini mwenyewe. Pia usichukuwe mwanamke sababu uwaoneshe rafiki zako kuwa nawe mchepukaji au kidume bali chagua atakae kufaa kuwa nae kwenye maisha yako. Baadae ndie awe mke wako usijaribu kuvaa viatu vya mwezako wakati size zenu tofauti. Kuwa shupavu kwa maisha yako,kuwa shupavu kwa wazee wako na kuwa shupavu kwenye masomo yako.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 

Asante kwa ushauri huo mzuri....ubarikiwe
 
Kuhusu malez nakataa pia mm nimelelewa na watu kama hao ila nilianza kudinya toka enzi za kombolea
 
Sijakuelewa
Masada ni album ya mwimbaji Alpha Blondy sasa nilipoona hapo unahitaji masada ndio nilifikiri unahitaji hiyo album.
Kijana acha kutizama ngono, xnxx, xvideos, xhamster, 18ᵗʰ streetlatinas Achana nazo zinakupotosha.
 
Kutovutiwa na mwanamke Sio dhambi.
Kuwa demu chuo siyo lazima.
Una demu kwasababu umeona wenzio Wana mademu, Sio kwasababu unahitaji kuwa nae.
Huo ni utumwa, ishi Maisha yako. Usiishi Maisha ya mwingine.
Huwezi kuwa mwanachama wa Chaputa Kama huna Matamanio kwa njiansia tofauti.
Kwahivi Inaonekana wewe ni Mwanaume sawasawa tu.
Kwahiyo tulia hivohivo mpaka utakapoona yuko anaekuvutia, then chukua maamuzi.
 

Asante sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…