Nahitaji marafiki

Kama upo 28-30 karibu kwenye dunia yangu
 
Nageukaje sasa na huyo sio mimi ukisubiri kugeukiwa na mimi usije nikimbia tu
teh..teh..teh... ndo umwambie ageuke!
hapa hajaagiza au kapigika? magu mbaya
 
Unawahakikishia vipi hao marafiki utakaowapata hutokuja kupost yebo yebo zao siku za baadae?
 
Unawahakikishia vipi hao marafiki utakaowapata hutokuja kupost yebo yebo zao siku za baadae?
mbona sielewi jamani..nasikia tu yebo yebo mara watu wamekimbia I'd zao..Shem embu nin'gate sikio mwenzioqq
 
mbona sielewi jamani..nasikia tu yebo yebo mara watu wamekimbia I'd zao..Shem embu nin'gate sikio mwenzioqq
Acha tu shemela...watu wamechomoa betri humu ni ngumu hata kupata mrembo mpya humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…