Nahitaji marafiki HIV positive

Usijali mpendwa
Na wala usikate tamaa ishi kwa matumaini na utakuwa sawa,jichanganye na watu na usijiwekee akilini kuwa uko katika hali fulani itakupelekea kudhoofika.
 
una miaka mingapia up to now
 
Ucjali tupo wengi tuna dunda mie nahitaji mdada wa kuliwazana nae. aje pm
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…