Nahitaji maombi yenu ndugu zangu/ wanaJF

Nahitaji maombi yenu ndugu zangu/ wanaJF

Prisila

Member
Joined
Feb 5, 2011
Posts
28
Reaction score
7
Nahitaji maombi yenu ndugu zangu wanaJF kwa ajili ya baba yangu mdogo.Alikuwa anampeleka babu yangu hospitali leo mchana bahati mbaya wakiwa njiani wakagongwa na gari, babu amekufa pale pale ila baba mdogo hali ni mbaya amekimbizwa katika ya wilaya Huruma huku Rombo. Tafadhali.
 
nahitaji maombi yenu ndugu zangu wanajf kwa ajili ya baba yangu mdogo..... alikuwa anampeleka babu yangu hospital Leo mchana bahati mbaya wakiwa njiani wakagongwa na gari babu amekufa pale pale ila baba mdogo hali ni mbaya amekimbizwa katika ya wilaya huruma huku rombo. tafadhali
Be healed in Jesus Name.
 
MAOMBI YA HATARI


UTANGULIZI
Maombi ya hatari ndiyo ni sahihi. Kichwa cha habari kinaogopesha katika mtazamo wa kwanza, lakini maelezo yake ni matamu, naamini matamu kuliko asali. Huwezi kueeleza kwa undani maana ya maombi ya hatari mpaka utakapokua unafanya. Haya ni maombi ambayo ulimwengu mzima umekuwa ukiyatamani, kila mtoto wa Mungu anapaswa kuomba haya ili kuweza kumweka shetani pamoja na mapepo yake kule wanakostahili.

Unapokuwa umeomba maombi haya katika Roho na kweli, ...


Continue Reading HAPA
 
Aisee pole saana ndugu yangu na imani Mungu ni mwenye Huruma na Upendo atawapeni kuvumilia na kushinda
 
Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth wote muwe wazima
 
Pole sana prisila...Mungu awape nguvu na uvumilivu katika wakati huu mgumu..amini atamponya
 
nahitaji maombi yenu ndugu zangu wanajf kwa ajili ya baba yangu mdogo..... alikuwa anampeleka babu yangu hospital Leo mchana bahati mbaya wakiwa njiani wakagongwa na gari babu amekufa pale pale ila baba mdogo hali ni mbaya amekimbizwa katika ya wilaya huruma huku rombo. tafadhali

Pole Sana Prisila Na Nakuombea UVUMILIVU Haswa Ktk Kipindi Hiki Kigumu Unachopitia Sasa. Mwenyezi Mungu Akutangulie Na Akupe Rehema.
 
Pole sana mkuu Mungu akupe nguvu. Baba atapona haraka usijali.
 
Pole sana mungu akutie Nguvu katika kipindi hiki Kigumu Mungu mwema Mzee atarecover tu.
 
Pole sn Prisila, inauma sn kwa jambo zito kama hilo la kufiwa na kuuguliwa ktk mazingira ya ghafula. Namuomba Mungu amupe afya njema mgonjwa, na ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu🙏🏿.
 
Back
Top Bottom