Pol mchina
Member
- Oct 27, 2019
- 10
- 20
Kwa jina naitwa pol kjna wa miaka 24 ni muhitim wa chuo kikuu.,kitu kilichonivuta niandike katka thread hii ni uitaj wa mschana mwny mapnz thabt ,kuna msemo usemao "every successful man there is women behind" kiuklwl kwny mnpz dhat yalio na equal interests btn both side ni mazur sana, before nlkuw katk mahusiano na mschana nliekuw nasoma nae chuo kimoja lkn nlchoambulia n kuzunguka jiji LA dar tukila stareh na kwenda location mbalimbali kwajl ya pcha .,now nmekuw kifikra ..
Vigezo
Awe mschana wa kawaida umri under24
-elim kuanzia kidato cha4
-awe serious kwl na siitaj wadada wa picha za location
-awe anajielewa na mweny mpmz ya dhat
Pia kwa watakao beza na penda niwakumbushe mapnz n popote ayana actual location..na pia waloweka thread hii so wajinga wanaelewa kuwa matukio ya kupatwa kwa mapnz sehem yoyote watu wanaeza Paraná na kuanzisha relationship.