Watanzania kwa Kulalamika
Fursa hiyo watu wamelala tu,waambie ubishi wa Siasa ndio utawajua.Ingekuwa Siasa uzi ungejaa huu
We mtu badala ya kutoa bei yeye muuzaji eti unamuuliza mnunuajie,aisee hahaha ,kazi kweli.
Ni Bonge la deal kama mjanja akilifanikisha hili.
Safi sana Yassir kwa kutoa fursa mkuu.