Wanaotafuta Mawese yanauzwa.
Mashart ya mganga nn?Nahitaji mafuta ya mawese niko Mbeya.
Tafadhali anaefahamu yanapouzwa/kama unauza ni sh.ngapi kwa dumu la lita 20.
mi pia natafuta mafuta ya mawese nipe no za cimmtafutaji wa mafuta ya mawese kama upo sirius nitafute
Write your reply... nipo Mwanza nahitaji mafuta ya mawese naomba msaad kwa aliyepo mbeya jaman