Nashukuru sana mkuu, kisima kipo kina kina cha ft30, Mimi shauku yangu ni kujua gharama ya hiyo pump.Habari yako mkuu, swali lako halijajitosheleza bado. Utaratibu huanzia na watalaama watakaokuja kupima maji shambani kwako.
2. Baada ya kupima watakupa majibu kina cha maji , utafata uchimbaji kutokana na kina ulichoambiwa, wakishamaliza kuchimba utasafisha kisima na kufanya pump test, zoezi hili ni muhimu sana sababu ndio swali lako litakapojibiwa, sababu pump test ikifanyika ndio utaweza kujua kwa saa moja kisima chako kinaweza kuvia maji kiasi gani ili tuweze kupata jibu pump itaweza kusukuma maji lita ngapi kwa saa. Hapo ndio utakutana na 0.75 Hp mpaka 3 Hp, Mengine yatakayofata utaangalia umbali kutoka chanzo cha maji mpaka shambani.
Maranyingi pv pipe huwa ni nchi 1, pump zipo aina mbalimbali, mimi natumia pump kutoka China kwajiri ya gharama nafuu.
Wajuzi zaidi watakuja kutujuza zaidi.
Walifanya pump test?
Waliochimba ndio waliopima uwepo wa maji na wakahakikisha wanayapata lakini tulishindana kwenye bei ya kunisetia pampu maana ilibidi initoke 4m kwa DC pump sasa nkaona ni gharamaMkuu sorry, ni watu gani waliokupimia uwepo wa maji na hao hao waliochimba kisima au aliyepima na aliyechimba ni tofauti?. Huwa naona kama conflict of interest mtu huyo huyo mmoja kupima na kuchimba.
Kama unauhakika maji yapo ya kutosha kuna mambo mawili utumie pamp kwa umeme wa jenereta au pampu ya solar hapo pampu ya 0.5 hp inatoshaWaliochimba ndio waliopima uwepo wa maji na wakahakikisha wanayapata lakini tulishindana kwenye bei ya kunisetia pampu maana ilibidi initoke 4m kwa DC pump sasa nkaona ni gharama
Kwa solar pump naweza pata kwa kiasi gani?Kama unauhakika maji yapo ya kutosha kuna mambo mawili utumie pamp kwa umeme wa jenereta au pampu ya solar hapo pampu ya 0.5 hp inatosha
Kama unazo panel haiwezi kuwa ghali sana sbb complite na panel zake ni kama ml 2Kwa solar pump naweza pata kwa kiasi gani?
Walau yenye uwezo wa kusukuma kama futi kama 30 hivi.
Nisaidie kama unajua bei ya hiyo pump.....uzuri wake solar panels ninazo za kutosha
Haizidi ml 1Pump pekee naweza pata kwa sh. ngapi?
Mkuu unamaanisha Mita30 au 30futi...!!! kama ni Futi 30 manake itakuwa kama 9Mita sasa kwa Kisima cha mita 9....Labda kama kina Maji mengi kama kidogo utakuwa unaitengeneza kila siku sababu itakuwa inanyonya hadi michanga Haitakawia kuJAM...kama ni 30mita angalau hii unaweza kutumia 0.5HP....ambayo uwezo wake ni kuanzia Mita 50Nashukuru sana mkuu, kisima kipo kina kina cha ft30, Mimi shauku yangu ni kujua gharama ya hiyo pump.
Jilidhishe kwanza urefu wa Kisima then uje nitakupa maelezo yote Pamoja na Panel ngapi utumie za Solar ili Pump ifanyekaz vzr...hizi ndio Shughuli zetuKwa solar pump naweza pata kwa kiasi gani?
Walau yenye uwezo wa kusukuma kama futi kama 30 hivi.
Nisaidie kama unajua bei ya hiyo pump.....uzuri wake solar panels ninazo za kutosha
Kama ni 0.5Hp hii ni 280,000/Pump pekee naweza pata kwa sh. ngapi?