,kwa mwenye kuuza madira ya wanawake na kuweza kusafirisha tafadhali njoo Pm kwa mazungumzo zaidi,
wewe yani uko mbio mbio hvo nani akupm. Tulia kwani uhtaji wa madira hayo ni kinyume cha sheria za nchi au ndo mficho wa fursa haya sawa lete huku mbeya yanahtajika kwa wingi.
,kwa mwenye kuuza madira ya wanawake na kuweza kusafirisha tafadhali njoo Pm kwa mazungumzo zaidi,
Hehee haya nakusubiria,
mm nategemea kuanza hii biashara soon..,kwa mwenye kuuza madira ya wanawake na kuweza kusafirisha tafadhali njoo pm kwa mazungumzo zaidi,