Manase fast courier
JF-Expert Member
- Mar 23, 2021
- 600
- 348
Nitakucheck baadaye, machine zipo.
No one! 🤗anyone???[emoji1555]
No one! [emoji847]
Nenda benki kachukue mashine yenye jina lako. Ukitaka kutumia njia ya mkato utajikuta tayari uko kwenye himaya ya Kalynda.[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787]acha kuwanga
Nenda kwenye benki husika ukapate mashine usije ukaingizwa mjinianyone???[emoji1555]
Nenda benki kachukue mashine yenye jina lako. Ukitaka kutumia njia ya mkato utajikuta tayari uko kwenye himaya ya Kalynda.
Nenda kwenye benki husika ukapate mashine usije ukaingizwa mjini
Nenda crdb au nbc ukajaze form yakuwa wakala wao end then ufuate utaratibu
Mkuu ukifanikiwa nijulishe..na mm nazihitajiHabari wakuu, nashida na machine hizi mbili kwa ajili ya ofisi ya uwakala, kwa yoyote ambae anauza au aliacha biashara hii na anahizo machine anisaidie tuwasiliane, ofisi ipo korogwe tanga
Dials 0744302922/ 0762177274
Taratibu umeshafanya wakazingua basi fanya hivi mzoe mtu wahuko jenga mazoea kwa mtu aliyekubali mazoea nawe atakufanyia mpango chapu maana zilizotumika zinamatatizo nakubwa ni deni unaweza kuchukua kitu mtu anadeni lake kubwa .sasa mpaka nimekuja huku unahisi sijafata utaratibu
Hapana ukipata mtu mwenye machine mkauziana na mkakubaliana mnaweza kwenda Benki wakabadirisha ID na account number hii inafanyika ndani ya siku 3 na ni Kwa NMB ila crdb ukiomba POS inaweza kupata tu bila shaka so tafuta mwenye machine akiridhia mnaenda Kwa Branch ila lazma uwe na float account wanafuta account ya muuzaji Wana update account ya mnunuaji unaendelea na biashara Kila la kherTaratibu umeshafanya wakazingua basi fanya hivi mzoe mtu wahuko jenga mazoea kwa mtu aliyekubali mazoea nawe atakufanyia mpango chapu maana zilizotumika zinamatatizo nakubwa ni deni unaweza kuchukua kitu mtu anadeni lake kubwa .
Asante kwa kunielekezaHapana ukipata mtu mwenye machine mkauziana na mkakubaliana mnaweza kwenda Benki wakabadirisha ID na account number hii inafanyika ndani ya siku 3 na ni Kwa NMB ila crdb ukiomba POS inaweza kupata tu bila shaka so tafuta mwenye machine akiridhia mnaenda Kwa Branch ila lazma uwe na float account wanafuta account ya muuzaji Wana update account ya mnunuaji unaendelea na biashara Kila la kher
But sharti ukidhi vigezi vya kuwa wakalaAsante kwa kunielekeza
Mkuu ukifanikiwa nijulishe..na mm nazihitaji