K KIJANA2013 JF-Expert Member Joined Jan 21, 2013 Posts 466 Reaction score 201 Feb 12, 2017 #1 Habari wana JF Naomba kufahamishwa wapi naweza kupata mabox ya kubebea vifaranga. Ni mabox ambayo huwa yametobolewa kuruhusu hewa kwa vifaranga wakiwa wanasafirishwa. Nawasilisha
Habari wana JF Naomba kufahamishwa wapi naweza kupata mabox ya kubebea vifaranga. Ni mabox ambayo huwa yametobolewa kuruhusu hewa kwa vifaranga wakiwa wanasafirishwa. Nawasilisha
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 36,508 Reaction score 45,127 Oct 24, 2019 #2 ulifanikisha kuyapata?