AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,666
- 2,841
haya wadau muje tufanye biashara
thanks mkuunenda kkoo, pale kwenye kituo cha magari ya msasani ukiwa unalitazama soko wanakouza mboga mboga chini, mbele kuna frem wanauza vifaa vya uvuvi pita hilo duka mbele yako utaona wanauza kama sijasahau box la apple elfu 60
Box moja lina apples kama ngap?KIOO ,vip kw hapa dar yanapatikana wapi?
Shukranisikuuliza zipo ngapi, na kiwi zipo pale nilikuta
kuna 70, 80, 90, 100, 110, 130, 150, na 180 bei yake inakuwa moja isipokuwa kadri zinavyokuwa chache ndiyo zinakuwa kubwa na kinyume chake.Box moja lina apples kama ngap?
Asante sana kwa kunifungua machokuna 70, 80, 90, 100, 110, 130, 150, na 180 bei yake inakuwa moja isipokuwa kadri zinavyokuwa chache ndiyo zinakuwa kubwa na kinyume chake.