Nahitaji loan deduction code (nambari ya makato) kwa ajili ya kutoa mikopo kwa waajiriwa

Malinyingi

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
864
164
Wanajamvi nawasalimu,

Mimi ni mfanyabishara/mjarisiamali ninahitaji hii deduction code, inayotolewa na utumishi/hazina ili niweze kuwakopesha watumishi walio ajiriwa na serikali au sekta binafsi.

Deduction code ni nambari inayo mtambulisha mkopeshaji kule hazina/utumishi ili mkopeshaji huyo aweze kupata makato/malipo ya mkopo kutoka kwenye mashahara wa mkopaji.

Kwa anaye jua utaratibu sahihi wa kupata hii deduction code tafadhali anisaidie.
 
Unaandika barua kwenda kwa katibu mkuu wizara ya utumishi kuhusu maombi ya deduction code pia ambatanisha nyaraka za biashara yako pamoja na wasifu wa biashara yako au kampuni

Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom