Nahitaji limbwata nimuwekee mke wangu

Kitalolo.

Senior Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
189
Reaction score
221
Kwa anayejua Limbwata bora naomba anisaidie tafadhali nahitaj kumuwekea mke wangu anipende mimi tu.
Sitaki kusikia limbwata la mwanaume kwa mwanamke ni hela!! nataka kali kuliko hela kama lipo.
 
Eeeeeej Mungu tumefika huku kweli dah
 
piga 0799 999 999
Kandumbale Ndumbile Kisokyo
mweleze shida yako
hata ukitaka busha anakupa
 
chukua manii zako kaanga na chumvi huku ukiwa unaongea maneno, chukua mizizi ya mmea unaitwa ndago kaanga halafu changanya na manii uliyokaanga mwekee kwenye mafuta anayopaka na kiasi kidogo chanjia kwenye dushe, na kidogo mtilie kwenye mboga anayoipenda ila usiwe mlenda.
 
Ndago ndo mmea gani Mkuu
 
Limbwata pekee na hela tu na ujue kumkuna kitandani, ukiwa navyo hivyo viwili atakuwa wako kufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…