Sio ujanja maana mnakua hamjui sheria za bara barani wengine huku tunakua tunaendesha magari mawili kwa kumwambia asipite mbele umeona hataweza kuyamaliza ila kwa udereva wa mtaani unaweza ila huku UEFA mnatusumbua mno mno na kusabisha ajali za kizembe...