mkumbatie Member Joined Aug 14, 2014 Posts 75 Reaction score 8 Sep 25, 2014 #1 jamani naomba kufahamishwa jinsi ya kupata leseni ya bajaji ni wapi zinapatika na utaratibu wake na gharama zake zikoje.
jamani naomba kufahamishwa jinsi ya kupata leseni ya bajaji ni wapi zinapatika na utaratibu wake na gharama zake zikoje.
Step by step JF-Expert Member Joined Apr 28, 2014 Posts 1,190 Reaction score 1,324 Sep 25, 2014 #2 mkumbatie said: jamani naomba kufahamishwa jinsi ya kupata leseni ya bajaji ni wapi zinapatika na utaratibu wake na gharama zake zikoje. Click to expand... nenda chuo chochote cha udereva kasome ukimaliza utapata leseni kulingana na uwezo wako. Leseni za sasa zina madaraja hivyo A2 itakuruhusu kuendesha hiyo kitu lakini kusema unatafuta leseni ya kuendesha bajaji peke ake sizani kama ni gud idea
mkumbatie said: jamani naomba kufahamishwa jinsi ya kupata leseni ya bajaji ni wapi zinapatika na utaratibu wake na gharama zake zikoje. Click to expand... nenda chuo chochote cha udereva kasome ukimaliza utapata leseni kulingana na uwezo wako. Leseni za sasa zina madaraja hivyo A2 itakuruhusu kuendesha hiyo kitu lakini kusema unatafuta leseni ya kuendesha bajaji peke ake sizani kama ni gud idea
mkumbatie Member Joined Aug 14, 2014 Posts 75 Reaction score 8 Sep 28, 2014 Thread starter #3 asante mkuu.