clemence mtei
Senior Member
- Feb 11, 2014
- 103
- 31
Nahitaji laptop kwa ajili ya matumizi ya chuo Kwanza iwe inatumia Window,Size iwe na GB 250 betri nzuri hata uwezo wa kukaa na chaji masaa sita,RAM angalau GB 4,CPU iwe Pentium Intel, keyboard yake iwe inatouch vizuri(Touch pad),display angalau 1366×768 au 1600×900 fingerprint,webcamera na touch nitazingatia nina 500k