DINHO JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 884 Reaction score 1,761 Jan 1, 2017 #1 Habari zenu waungwana.. kama mwanajamvi ninahitaji LAPTOP yenye hali nzuri.. maana Dukani sina uwezo wa kutoa hizo laki 5,6 nk.. Hivyo mwenye nayo tufanye biashara..
Habari zenu waungwana.. kama mwanajamvi ninahitaji LAPTOP yenye hali nzuri.. maana Dukani sina uwezo wa kutoa hizo laki 5,6 nk.. Hivyo mwenye nayo tufanye biashara..
Facha Don JF-Expert Member Joined Oct 27, 2016 Posts 343 Reaction score 317 Jan 1, 2017 #2 Kaka hapo utapata laptop uenye hali mbaya kama huna huna hyo lak 5 ukapata laptop mpya unataka ya mtaan
Kaka hapo utapata laptop uenye hali mbaya kama huna huna hyo lak 5 ukapata laptop mpya unataka ya mtaan
M mamboga Member Joined Dec 4, 2016 Posts 30 Reaction score 6 Jan 1, 2017 #3 Facha Don said: Kaka hapo utapata laptop uenye hali mbaya kama huna huna hyo lak 5 ukapata laptop mpya unataka ya mtaan Click to expand... Ipo fujistu ipo kwenye hali nzuri tu bei lak2 jamaa amefukuzwa ada ya chuo kwahy anauza kwa bei hiyo ili arudi chuo
Facha Don said: Kaka hapo utapata laptop uenye hali mbaya kama huna huna hyo lak 5 ukapata laptop mpya unataka ya mtaan Click to expand... Ipo fujistu ipo kwenye hali nzuri tu bei lak2 jamaa amefukuzwa ada ya chuo kwahy anauza kwa bei hiyo ili arudi chuo
DINHO JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 884 Reaction score 1,761 Jan 2, 2017 Thread starter #4 Tuma picha hapa...
Agapaul Member Joined Dec 28, 2016 Posts 24 Reaction score 4 Jan 2, 2017 #5 Huyu anazo HP mpyaaa kabisa yn zimetoka nje juzi tu mtafute 0657016871