Swordfisher
JF-Expert Member
- May 1, 2013
- 233
- 37
Tafadhali wakuu alie na laptop anayoweza kunipatia kwa laki 2.5 ani PM. Iwe kwenye hali nzuri na naprefer mini
Hipo kwa laki 3 na nusu ni samsung ipo katika hali nzuri ni zile mini laptop...
Imetulia, tatizo ni hela iliyopo ni hiyo.View attachment 101199View attachment 101200 Lete 350,000 samsung mini laptop brand new,processor 1.6ghz,ram 2gb,hdd 320gb phone 0716797416
View attachment 101199View attachment 101200
Lete 350,000 samsung mini laptop brand new,processor 1.6ghz,ram 2gb,hdd 320gb phone 0716797416
Nipo Dar Mkuu, kama uko tayari tufanye biasharaUpo mkoa gani mkuu! Ninayo mini for you, pia nina laptop dell Hdd 180, duo core, ram 2gb.
aiseeeee babayangu laki na nusu mmeku nimechoka kutumia kamchina kangu JF siifaidi vizuri
aisee umetokea Rombo nini Mkuu?aiseeeee babayangu laki na nusu mmeku nimechoka kutumia kamchina kangu JF siifaidi vizuri
Nipo Dar Mkuu, kama uko tayari tufanye biashara